MWASHITA SACCOS

Vifurushi vya Uanachama

Tunaweka akiba pamoja, tunakua pamoja. Chagua kifurushi kinacholingana na uwezo wako wa kiuchumi na kimapato ili uweze kushiriki katika huduma za akiba na mikopo.

Tazama Vifurushi Vyetu
JIUNGE NASI LEO

Chagua Kifurushi Chako

Tuna vifurushi vitatu vya uanachama vinavyokuwezesha kujiunga na MWASHITA SACCOS.

KIFURUSHI CHA KWANZA

Tsh 725,000/=

Jumla ya malipo

KIFURUSHI KINAJUMUISHA

Fomu ya kujiunga Tsh 5,000/=
Kiingilio Tsh 70,000/=
Hisa za awali (10) Tsh 300,000/=
Akiba Tsh 350,000/=
Hisa moja ni Tsh 30,000/=.
MKopo

Mwanachama anaweza kupewa mkopo usiozidi:

Tsh 1,000,000/=

Mkopo ni mara tatu ya akiba aliyonayo.

Jiunge na Kifurushi Hiki

KIFURUSHI KINAJUMUISHA

Fomu ya kujiunga Tsh 5,000/=
Kiingilio Tsh 70,000/=
Hisa za awali (15) Tsh 450,000/=
Akiba Tsh 500,000/=
Hisa moja ni Tsh 30,000/=.
MKopo

Mwanachama anaweza kupewa mkopo usiozidi:

Tsh 1,500,000/=

Mkopo ni mara tatu ya akiba aliyonayo.

Jiunge na Kifurushi Hiki

KIFURUSHI CHA TATU

Tsh 1,375,000/=

Jumla ya malipo

KIFURUSHI KINAJUMUISHA

Fomu ya kujiunga Tsh 5,000/=
Kiingilio Tsh 70,000/=
Hisa za awali (20) Tsh 600,000/=
Akiba Tsh 700,000/=
Hisa moja ni Tsh 30,000/=.
MKopo

Mwanachama anaweza kupewa mkopo usiozidi:

Tsh 2,100,000/=

Mkopo ni mara tatu ya akiba aliyonayo.

Jiunge na Kifurushi Hiki

Fahamu Masharti ya Chama

Kabla ya kujiunga na MWASHITA SACCOS, tunakukaribisha kusoma na kuelewa masharti na taratibu za chama.

Soma Masharti ya Chama (PDF)

MUHIMU KUZINGATIA

Kwa mujibu wa maelezo ya vifurushi vya MWASHITA SACCOS:

Uko Tayari Kujiunga na MWASHITA SACCOS?

Wasiliana nasi leo upate maelezo zaidi kuhusu uanachama na vifurushi vyetu.

Simu: 0262322720 / 0775 595 704
Barua pepe: mwashitasaccos@yahoo.com